ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 7, 2015

ALIYEKUA MWAKILISHI WA BUNGE MHE TOBY MOFFET ATEMBELEA UBALOZI

 Aliyekua mwakilishi wa bunge la serikali ya Marekani Mhe Toby Moffett atembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC, na kuweka saini kwenye kitabu cha wageni.
  Aliyekua mwakilishi wa bunge la serikali ya Marekani Mhe Toby Moffett akipokelewa na Mhe Liberata Mulamula balozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Balozi Liberata Mulamula akiendelea na mazungumzo na mgeni wake , ambapo waliweza kubadilishana mawazo kwani kwa sasa Mhe Toby Moffett ni mshauri mkuu kwenye kampuni  ya uwakili.
 Aliyekua mwakilishi wa bunge la serikali ya Marekani Mhe Toby Moffett akiwa na mhe balozi Liberata Mulamula pamoja na Afisa Swahiba Mndeme wakifanya mazungumzo ubalozini.

                    PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI

No comments: