Mch Wilbert Nfubhusa akiwa pamoja na ujumbe aliofuatana nao pamoja na Balozi Liberata Mulamula na afisa Swahiba Mndeme.
Mch Wilbert Nfubhusa akipokea zawadi ya vitabu kutoka kwa Mhe balozi Liberata Mulamula .
Mhe balozi Liberata Mulamula akipokea zawadi ya fulana kutoka kwa ndg,Shukrani Magoma kama ukumbusho wa uwepo wao.
Kuanzia kulia ni mkuu wa utawala Lily Munanka akifuatiwa na Shukrani Magoma akifuatiwa na Mch Wilbert Nfubhusa na Balozi Liberata Mulamula na Afisa Swahiba Mndeme pamoja na Semmy Mmari.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI
No comments:
Post a Comment