ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 4, 2015

BAADHI YA MAENEO MENGINE YALIKUMBWA NA MAFURIKO HUKO ZANZIBAR BAADA YA MVUA YA MASAA MANANE MFULULIZO

Mandhari ya maeneo yaloathirika na mafuriko nje ya mji wa zanzibar

Nje ya uwanja wa ndege wa Zanzibar hali ilivyokuwa na mvua ndogo ndogo zikiwa zinaendelea
Hii ndio hali halisi baada ya mvua kali ilinyesha kwa masaa manane na baadae mvua ndogo ndogo kuendelea

 
Posta ya Kijangwani hakuna alietuma wa kupokea barua, ni kizaizai tu


Hii inanikumbusa sunami iliyotokea Indonesia ilikushanya marundo ya mataka kama hivi



Kiwanja cha kufurahishia watoto kikiwa kimejaa maji kote, Marry Go Round ikiwa inaelea






















 

2 comments:

Anonymous said...

Poleni wandugu. Wakti mwingine tujiulize sie binadamu,Yote huletwa na Mungu. Je,tunamridhia Mola wetu kwa mambo tuyafanyayo. Ikizingatiwa sisi binadamu tumesisitizwa na Mola wetu kushikamana. Na wenzetu ndio wamekuwa vinara kudai mfarakano na ndugu zetu wa bara. Huu ni mtihani kwa sisi binadamu kwani hapa duniani sote tunapita,kibri cha nini???? Poleni sana wahanga!!!Turudi kwa Mola kwa sala na matendo mema ya kila siku.
Akhsante!!!!!

Anonymous said...

mwana hizaya mkubwa wewe uleyetoa comment hapo juu. eti wenzetu wamekuwa vinara kuda mfarakano na ndugu zetu wa bara, umetumwa?au una wazimu?mwana hizaya mkubwa.

watu wanadai utaifa wao na nchi yao na ni haki yao na wala hawatosimama na kuchoka kuitetea,kuida na kuifiaa mamlaka kamili ya Zanzibar.si koloni lenu lile.

usileta zako za kuleta hapa,mafuriko Hutokea sehemu chungu nzima duniani kote, kama mtihani kila nchi na kila binadamu ana; usileta zako za kuleta hapa kwamba tumepata mafuriko kisa tunafarakana na wabara.

lakini afadhali tumeiona dhamira yako ya moyoni.na wala hatutaki pole yako yakifisadi tunajua unachekelea katika moyo wako wa kifisadi na roho mbaya. kaa ukijua hata huko kwenu bara mafuriko hutokea.


tunataka nchi yetu tafrani tumechoka.na tunajua mtakuja kuziiba kura mjishindishe nyinyi ma ccm mafisadi wakubwa lakini Allah yupo pamoja na sisi inshallah amin

soon and very soon Zanzibar itapata mamlaka yake kamili,kila lenye mwanzo lina mwisho wake.

mwana hizaya mkubwa na fisadi wa kupitiliza.