ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 6, 2015

DC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZUNGUMZIA MAAFIKIANO YALIYOFIKIWA KUMALIZA MGOMO WA MADEREVA NCHINI

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu muafaka uliofikiwa kufuatia mgomo wa madereva  uliofanyika ofisi ya waziri mkuu kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali.
Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.

Na Dotto Mwaibale

No comments: