ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 10, 2015

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki Kusema Ndoa Haitadumu Hata Miezi 6 Lakini Wapi,Alipangalo Allah Hakuna Binadamu Wa Kulibadili Kamwe...Tnxx 2u All Family & Friends Kwa Kuwa Karibu Nasi Kwa Ushauri Na Kila Kitu Hadi Leo Twatimiza Miaka 19...Jamani Tuombeane Dua Basi Zaidi Wote Tuliokuwa Katika Ndoa Tudumu Miaka Mingi Zaidi Na Zaidi Na Pia Wale Ambao Bado Hawajaoa Au Kuolewa Basi Nao Twakaribisha Katika Chama...Msiogope Jamani Ndoa Ni Kitu Kizuri,Bora Na Muhimu Katika Maisha,Kama Mimi Na Bi Wife Tumetimiza Miaka 19 Utashindwaje Wewe?...HAPPY ANNIVERSARY 2 US Mr & Mrs Gulu Nanji



Like · Comment · Share · 10232


102 people like this.


Frank Gaya Congratulations to you both!
Like · Reply · 4 hrs


Gulu Ramadhani Nanji Thank u Mr Frank Gaya
Like · 4 hrs


Sheila Edward Some of us has to learn from you 19yrs is not a joke. God bless your marriage!
Like · Reply · 4 hrs

Amfirst Ladii Mashallah hongera sana bro
Like · Reply · 3 hrs

Sogbeh Kamara Diawara Wow great job brother, I am right behind you... I have been married to my highschool sweetheart for eighteen years.
Like · Reply · 3 hrs

Sabrah Ali Mashallah M. Mungu atawajaalia, mtadumu mpaka mtazikana inshallah, ndoa ni kushibana na kujua thamani kwa kila moja, mkilimudu hilo palipobaki mnapeta tu, kimepatikana, kimepungua haijalishi, nafsi ziko furahani amani, baraka imetanda ndani nyumba mnasogeza umri bila wasi allah awajalie kheri milele daima, Hongera bro
Like · Reply · 3 hrs

Missy Temeke Awwwwwww Dearest brother, you look the best when you stand with your partner. On your anniversary day, May you be blessed with such years of togetherness forever. May the love between both of you prosper over the years, Have a blessed day dear! Gulu Ramadhani Nanji
Like · Reply · 3 hrs

Hakamal Ibrahim Happy anniversary to you
Like · Reply · 3 hrs

Mata Wachaka Inshaallah Allah awazidishie mahaba mzidi kupendana milele...bro
Like · Reply · 3 hrs

Mwasu Mpore Kaaah kikongweee...umeanza longtym kumbe mchumba...happpy happy anniversary. ..we need many many more....Gulu Ramadhani Nanji
Like · Reply · 2 hrs

Hora Abdulrazak Hongereni sana kwenu nyote, ila kwa kweli @gulu ramadhani nanji una mke bora haswa! Na kwa mkei si tu umke.bali hata kwa upande wa sie marafiki zake ni rafiki mtamu kwa kweli,naona thamani ya mkeo haipo duniani iko peponi tu!....nakumbuka kuna wakati n...See More
Like · Reply · 2 hrs


Shamma Bajahnoon Hongera brooo maashaallah bwana harusi m mungu awajaalie masikilizano na upendo na afya ya kulewa watt wenu
Like · Reply · 1 · 2 hrs


Benoit Benoit Congratulation man
Like · Reply · 2 hrs


Ibraheem Nassor Gr8.broo hongereni sana..Allah azidi kuleta Baraka katika familia na upendo wa zaidi na zaidi..All the.best..Gulu Ramadhani Nanji
Like · Reply · 2 hrs


Hairaty Mchima Congratulations my daddy and mummy, Allah awajaalie afya tele na upendo pia msiache kumtegemea yeye , nawatakia maisha malefu .nawapenda sana.
Like · Reply · 2 hrs


Osman Bairu Hongera guru.
Like · Reply · 2 hrs


Asha Jarufu Mashaallah Mashaallah Mashaallah,Inshaallah m.mungu akudumisheni mpaka muhitimishane yarab alamin.
Nawapenda nyote ni wangu.
Like · Reply · 1 · 2 hrs


Preety Liylah Hongereni sana
Like · Reply · 2 hrs


Pilly Kitwana MashaAllah congratulations to you both Gulu Ramadhani Nanji
Like · Reply · 2 hrs


Malaikat Fey Congratulation to you my brother and your beautiful wife,Mashallah.
Like · Reply · 2 hrs


New Ison Lyrics Tz Hongerenisana
MUNGU awape maisha Marefu yenye mafanikio
Like · Reply · 2 hrs


Wastara Bungara Maishaalh hongereni kwa kuvumiriana , , Inshaalah mungu. Atazidi kuwajaalia
Like · Reply · 2 hrs

Ummy Sakapala Happy anniversary to both of you bro
Like · Reply · 1 hr

Maricia Mwasanga Hongera sana. Nawaombea kwa mola awape maisha marefu yenye upendo na amani.
Like · Reply · 1 hr

Sabrina Ahmed
Like · Reply · 1 hr

Wabogojo Ford Duh Kaka Hongereni SANA
Mungu awabariki Na mzidi songa mbele zaidi Na zaidi aise
Like · Reply · 1 hr

Sirma Wa Tz Amin Ya Allah Uwabariki Waja Wako ktk Maisha Yao Yot€
Like · Reply · 1 hr

Arafa Worthy happy Anniversary bro, May Allah continue to bless ur marriage n lv each other more inshallah amin yarrabi
Like · Reply · 1 hr

Prince Lee Hah! Hongereni xana kwa kuweza kudumu kwa ndoa muda wote huo nawaombeeni kwa Mungu aweze kuwadumishen ndani ya ndoa hadi mtakapofikwa na umaiti kati yenu Amiin
Like · Reply · 1 hr

Haroub Ali HOGERENI SANA AMEEN HAPPY ANNIVERSARY
Like · Reply · 42 mins

Rahma Ahmed ALLAH Awafanyie WEPEC zaid NA zaid
Like · Reply · 41 mins

Diagi Janguo In Shaa Allah awazisiahie miaka mingi tena yenye amani furaha na upendo ... Hongereni saaaana 19years is no joke in marriages Allah awape wepesi muendelee kupendana na kuvumiliana
Like · Reply · 40 mins


No comments: