Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?
Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
in this world every where is dirty money,tell me which money is pure hata kama unakula kwa jasho lako but mzunguko wake unaujua na nchi unayo ishi unajua wanavyofanyaga.barter system mali kwa mali ndo its pure money watu wa vijijini wanaotumia mazao yao bila ya pesa ndo pure money.ukiwa mjini na nchi za nje popote pale unakula na kutumia dirty money.acheni zenu nyinyi
3 comments:
Dirty money.
NA WEWE USHANUNULIWA BALAAA....!!!!!!!! CCM WAKIJICHANGAYA UKAWA WANATAWALA...!!

Post a Comment