ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 20, 2015

JAJI MKU WA ZANZIBAR MHE. OMAR OTHMAN MAKUNGU, AZINDUA MAHAKAMA YA BIASHARA ZANZIBAR. MAY 18.

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitoa hutuba wakati wa uzinduzi wa 
Mahakama ya biashara huko Mahakama kuu Vunga Zanzibar.
WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.
WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.
JAJI mkuu akikata utepe kuzindua mahakama ya biashara. 
Jaji Mkuu akifuahia jambo na Washiriki.
Picha ya pamoja

No comments: