Advertisements

Sunday, May 3, 2015

Kantante!- Karibuni Ibada ya Kiswahili – Maalum kwa Uimbaji Jumapili hii Mei 03, 2015 Kuanzia saa Kumi kamili

Kichwa cha Siku hii: Zaburi 150:6... Kila mwenye pumzi amsifu BWANA. Haleluya!
Kutakuwa na Uimbaji wa Lugha mbalimbali toka nchini Tanzania, Zimbabwe, Marekani, Ujerumani, Australia, Watoto, Vikundi vya Familia na wimbo wa "Mungu nipendo" Utaimbwa kwa lugha zote zitakazoshiriki! (unakaribishwa kuja na kopi ya lugha kwako)
Karibu sana na Mkaribishe na mwingine!!!
***   ***   Ibada ya Kiswahili Columbus   ***   ***

No comments: