ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 6, 2015

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

Kundi la Vijana ambao ni marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini.
Mratibu wa Marafiki wa Lowasa kanda ya Kaskazini Noel Nnko akitoka kufanya usajili kaba ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Mratibu wa marafiki wa Lowasa Noel Nnko akiagwa na mdau wa utalii kanda ya kaskazini Aggrey Makia kabla kundi la vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya vijana .
Mratibu wa marafiki wa Lowasa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.
Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowasa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

1 comment:

Anonymous said...

so funny eti marafiki wa lowassa.kweli shikamoo pesa ukishapenyezewa kido go basi unasahau yote mawazo vile vijisenti ulivyopewa na kuahidiwa.