
Waandamanaji wakimkimbiza polisi wa kike baada ya kukimbiwa na polisi wenzake pale polisi walivyozidiwa nguvu na waandamanaji.

Waandamanaji wamesha mkamata polisi wa kike na kumbeba mzobe mzobe amani imetoweka kabisa kwa ndugu zetu hawa.

Wakimburuza chini uku wakimshutumu kwanini wanawashuti na wao sasa watalipiza kisasi kwa kumuua kwa mikono yao.

Baati mzuri kulikuwa na wasamalia wema ambao walikuwa na roho ya utu na walimuokoa kabla ya mabaya zaidi kumkuta hii yote inatokea polisi wenzie wamekimbia na siraha zao bila ya kuja kumuokoa mwenzao.

Hapa polisi mmoja alijitokeza na kama unavyoona bado huyo polisi wa kike alieendalea kupata kibano

Burundi ni shida na hatari kwa hali hii Tanzania itakuwa na mzigo wawakimbizi.

Huyu jamaa na kisu chake anataka kumchoma polisi wakike bila hata huruma, kwa picha zaidi nenda chini Mungu ibariki Burundi mungu ibariki Africa.






















5 comments:
POLICCM INATAKIWA EAPATE KIBANO HIVI
Uroho wa kula nchi, that president asiyetaka kung'atuka should be tried in the coming months,
Viongozi wetu ni wanafiki, they are there for their own benefits and not for us.
Polisi wa nchi gani? si dhani kama hizo ni uniform za polisi wa Tanzania.
nimeona jamaa mmoka amevaa jezi ya tanzania
Post a Comment