ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 13, 2015

MACHAFUKO YA BURUNDI NI MZIGO WAWAKIMBIZI TANZANIA, POLISI WAZIDIWA NGUVU NA WAANDAMANAJI WENYE JAZBA NCHINI BURUNDI



Waandamanaji wakimkimbiza polisi wa kike baada ya kukimbiwa na polisi wenzake pale polisi walivyozidiwa nguvu na waandamanaji.

Waandamanaji wamesha mkamata polisi wa kike na kumbeba mzobe mzobe amani imetoweka kabisa kwa ndugu zetu hawa.

Wakimburuza chini uku wakimshutumu kwanini wanawashuti na wao sasa watalipiza kisasi kwa kumuua kwa mikono yao.

Baati mzuri kulikuwa na wasamalia wema ambao walikuwa na roho ya utu na walimuokoa kabla ya mabaya zaidi kumkuta hii yote inatokea polisi wenzie wamekimbia na siraha zao bila  ya kuja kumuokoa mwenzao.

Hapa polisi mmoja alijitokeza na kama unavyoona bado huyo polisi wa kike alieendalea kupata kibano

Burundi ni shida na hatari kwa hali hii Tanzania itakuwa na mzigo wawakimbizi.

Huyu jamaa na kisu chake anataka kumchoma polisi wakike bila hata huruma, kwa picha zaidi nenda chini Mungu ibariki Burundi mungu ibariki Africa.

5 comments:

Anonymous said...

POLICCM INATAKIWA EAPATE KIBANO HIVI

Anonymous said...

Uroho wa kula nchi, that president asiyetaka kung'atuka should be tried in the coming months,

Anonymous said...

Viongozi wetu ni wanafiki, they are there for their own benefits and not for us.

Anonymous said...

Polisi wa nchi gani? si dhani kama hizo ni uniform za polisi wa Tanzania.

Anonymous said...

nimeona jamaa mmoka amevaa jezi ya tanzania