Advertisements

Saturday, May 30, 2015

MSIBA TANZANIA

Muhidin Hamisi enzi ya uhai wake

Ndugu Hamisi Msendo wa Gaithersburg anawataarifu kifo cha baba yake mdogo Muhidin Hamisi Mengashi kilichotokea Tanga, Tanzania. Muhidin alikuwa mmoja wa mabaharia maarufu kutoka Tanzanai akifanya kazi na kampuni mbali mbali duniani. Alirejea nyumbani miaka mingi na alikuwa akiendesha biashara kadha mjini Tanga
Unaweza kupiga simu kwa mfiwa Hamisi Msendo 301 642 1228

No comments: