Satars United
Vitambi FC
Nahodha wa timu ya Vitambi FC David (kushoto) akisalimiana na nahodha wa Stars United Dulla
Ni hatari mpira golini kwa Vitambi FC.
Mechi ikiendelea
Mchezaji wa Vitambi FC akikkokota mpira kujaribu kuipita ngome ya Stars United
Mchezaji Emmanuel wa Stars United akipiga pasi kwa mchezaji mwenzake Kheri Yahya huku mchezaji wa Vitambi FC akiangalia wasije wakaleta madhara.
Mchezaji More akimiliki mpira.
Mechi ilikua ya ushindani sana
Mchezaji Shabani akitoka nje baada ya mpira kwisha.
Mchezaji wa Vitambi FC akishangilia ushindi
No comments:
Post a Comment