ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 7, 2015

MVUA ZAENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR KWA SIKU YA PILI LEO

Mitaa mbalimbali ya jiji la Dar ikiwa imefurika maji baada ya mvua inayoendelea kunyesha jiji hilo kuwa kero kwa wakaazi.
Mitaa kiwa imefurika maji
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwa siku mbili mfululizo jijini Dar ikiwa imeacha kero ya mafuliko kwa wakaazi wa jiji hilo.
Mitaa mbalimbali ikiwa imefulika maji.


2 comments:

Anonymous said...

si kulikuwa na mdau mmoja aliandika comment ya kinazi ya kuwasimanga wazanzibari kwa mafuriko eti kisa hatupatani na wabara na tuna choko choko so mungu katuona.so leo hii kipo wapi na mafuriko haya sisi tusemeje?
binadamu unatakiwa uwe na kauli nzuri na roho njema si kuwasema wenzako na nchi za wenzako na ukadhani hayatokupata nchini mwako. mungu ni wa wote na wala hachagui wala habagui.

kuweni wastarabu wa kujua kusema lipi katika mitandaoni.

Anonymous said...

mdau nchi za wenzako ukadhani hayatakupata nchini mwako? Tanganyika na Zanzibar? =