Kauli ya Mhandisi Luhemeja ya kuwaaga
wafanyakazi hao ilionekana kama mwiba na kuzua simanzi kuu kwa
watumishi hao waliofanya kazi na mkurugenzi huyo kwa kipindi cha mwaka
mmoja na miezi 10. |
Mhandisi Luhemeja akijaribu kuwapatia wafanyakazi hao Lugha nzuri angalau wasibaki na majonzi. |
Meneja Fedha wa MUWSA ,Joyce Msiru akizungumza jambo katika kikao hicho. |
Hali ya huzuni ndio ilitawala katika viunga
vya ofisi za Mamlaka hiyo. Na Dixon Busagaga a Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
No comments:
Post a Comment