Advertisements

Monday, May 4, 2015

MVUA ZALETA MADHARA MAKUBWA MJI WA UNGUJA

Mvua zilizonyesha leo Zanzibar na kusababisha maruriko na kuwaweka watumiaji barabara kama inavyoonekana kwenye picha wakati mgumu.
Waendesha ,agari nao wakipita kwa uangalifu mkubwa.
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji kutokana na mvua zilizonyesha leo Zanzibar.
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji.
Mitaro ikiwa imejaa maji kutokana na mvua iliyonyesha leo Zanzibar.
Maji kila sehemu kama unavyoonekana kwenye picha.
Wananchi wakitafakali jambo ya jinsi gani yakufanya baada ya mvua iliyonyesha Zanzibar leo kusababisha kuta za baadhi ya nyumba kumong'onyoka.
Kuta iliyomong'onyoka kwa mvua zilizonyesha leo Zanzibar.
Mwananchi akiweka kifusi kuokoa ukuta usimong;onyoke zaidi.

No comments: