Advertisements

Friday, May 22, 2015

PICTURE OF THE DAY BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Mheshimiwa balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula akiwa amependeza sana na vazi nadhifu la kiafrika tayari kuelekea THE WHITE HOUSE kujumuika na mabalozi wengine kufuatia mwaliko wa  Mhe Barack Obama, Rais wa Marekani na mkewe Michelle Obama.
 PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.

4 comments:

Anonymous said...

Beautiful!

Anonymous said...

Hongera mama ... utakaporudi wizarani usitusahau tu!

Anonymous said...

Bado tu yupo ? Si anasubiriwa bongo

Anonymous said...

Hongera sana Mheshimiwa Mulamula, umependeza sana, MUNGU akubariki sana. Wewe ni kiongozi bora wa kuigwa. Akina mama wengine wanapaswa kujifunza kutoka kwako namna ya kuheshimu uthamani walionao.