Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya
Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania,
uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba
ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani, Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania uliofanyika katika kampasi ya Temeke leo jijini Dar es Salaam leo, Kusoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya
Maliasili na Utalii,Said Msambachi .
Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo Cha Utalii Tanzania
waliohudhulia katika Baraza hili katika Chuo cha Utalii Tanzania Kampasi
ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Fedha wa Chuo cha Utalii Tanzania kampasi ya Bustani, Neema Kusiga akizungumza katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo hicho iliyofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Picha ya pamoja ya Baraza la wa wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania linalofanyika katika Kampasi Temeke ya Chuo hicho jijini Dar es Salaam leo na kesho. Picha na Avila Kakingo,Gblobu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment