Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto), akizungumza katika ufunguzi wa semina hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kulia), akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Kinga ... wa wizara hiyo, Dk.Georgina Msemo wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Wanahabari wakiwa kwenye semina hiyo.
Wanahabari wakichukua taarifa wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Raymond Wigenge(kushoto), akielekezana jambo na Ofisa Afya Muelimishaji wa Wizara hiyo, Aggrey Mshana wakati wa Semina hiyo.
(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)
No comments:
Post a Comment