ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 5, 2015

WEMA SEPETU NA PICHA ZA INSTAGRAM PARTY JEMBE BEACH MWANZA

Picha za Instagram party ya Wema Sepetu iliyofanyika Mwanza.
Mambo ya Instagram party ya Wema Sepetu Mwanza
Picha kwa hisani ya G Sengo Blog

3 comments:

Anonymous said...

kazi kweli kweli madame dar kuna white party na wewe una part yako mwanza je mnashindana?kazi kweli kweli. but i must salute you,you look beautiful as ever.

Anonymous said...

wema badilika jamani badilika,iweke hadhi yako juu usiwe rahisi hivyo jamani kila leo tunasikia unahuyu na yule.
jifunze kutumia fursa ya uzuri wako na kimombo chako.umemuona mwenzio kaja bongo kupiga pesa na kuteka soko lote la east africa entertainment. anatumia akili yule hata kama mnamuona mtu mzima sijui ana watoto na mambo kibao but kiukweli ana akili sana si mchezo.

acha kwenda kwenye party za vigodoro wema na pombe kwa sana punguza.

your biggest fan.

Anonymous said...

wema wema kama jina lako kweli una wema wewe kimwana na watu wanakutumia vibaya sana kwa wema wako but please zinduka sasa na kaa tafakari kwa sana.

kweli umemlipa omotola kuja kuzindua movie yako na wewe unapelekwa kwenye istagram party kweli jamani?why do you do such thing wema?.umetengeneza ngapi huko?

na peti ni mshauri wako wa kazi wakati ni shemejiyake dai kwa nini dai hamuajiri?ana experience gani ya kukusahuri wewe zaidi ya kuchukua yako na kumpelekea mkewe.

sina chuki na wewe ila nakupenda na nataka ukae utulize akili yako na kutafakari wanaokuzunguka nakukushauri.That is all.all the best wema