ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 17, 2015

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali alipokuja kumtembelea Wizarani na kufanya nae mazungumzo pamoja na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje.
Katibu Mkuu, Balozi Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sudan, Dkt. Mohammed Ali. Kulia ni Afisa Mambo ya Nje, Bi. Talha Mohammed na kushoto ni Afisa kutoka Ubalozi wa Sudan nchini. Picha na Reginald Philip

No comments: