ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 17, 2015

MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot, alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu Mkazi wa UNDP nchini Moroco.
Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara baada ya kumkabidhi kitabu.
Balozi Mushy (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa Mambo ya Nje wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa. 

Picha na Reginald Philip

1 comment:

Anonymous said...

Mimi sio mwana diplomasia lakini nilifahamishwa na mwanamitindo eti koti likiwa na vifungo viwili unafunga kimoja tu na likiwa la vifungo vitatu wafunga viwili tu na la vinne wafunga vitatu tu. Jamani mnijuvye.