MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine
Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii
vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot,
alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu
Mkazi wa UNDP nchini Moroco.
Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara
baada ya kumkabidhi kitabu.
Balozi Mushy (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja
na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa Mambo ya Nje wa Idara
ya Ushirikiano wa Kimataifa.
Picha na Reginald
Philip
1 comment:
Mimi sio mwana diplomasia lakini nilifahamishwa na mwanamitindo eti koti likiwa na vifungo viwili unafunga kimoja tu na likiwa la vifungo vitatu wafunga viwili tu na la vinne wafunga vitatu tu. Jamani mnijuvye.
Post a Comment