Jiji la New York jana jumapili lilikuwa baadhi ya mitaa haipitiki, baada ya kufungwa na kuwapa fursa walegevu wa mambo ( wasenge) kusherehekea na kupongezana baada ya mahakama juu nchini marekani kuhalalisha ndoa ya jinsia moja, (mwanamke kumuowa mwanamke mwengine, na mwanamme kumuowa mwanamme mwengine, kitu ambacho kimewatia hasira baadhai ya wana dini na kuandaa kupingana na uamuzi huoo wa mahakama ya juu
4 comments:
Chonka Bojo Marekani!!!
wabongo wazanzibari mliopo huko mnaonaje mambo haya,let love win au ujinga tu huu.
sasa taifa lina angamia kama sodomo na gomoro,jehadharini adhabu ya mola huwa hachagui itakukumbeni na nyinyi msio katika mpago huu mazaal mpo katika nchi yao.
mnajua asili ya hizi rangi za bendera zimetoka wapi,yani wanamtukana sana mungu.waisrael walivyo okolewa kwenye utumwa walikuwa na bendera hii ya mungu sasa wao kwa vitendo vyao hivi wanamdhalilisha kweli mungu na kumkufuru.kweli mungu kawaambiwa wawe wanaliana kiboga wenyewe kwa wenyewe.na kichiri saga.
Yaani Mungu anataniwa hadharani tena kwa ushujaa. Africa tukiomba msaada toka nje tunalazimishwa nasi tuwe wasenge au wasagaji ili tupate misaada, jamani kama si laana ni kitu gani?
Post a Comment