ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 16, 2015

MSIBA NEW YORK NA JAMAICA

 Familia ya Diana na Tino Taylor wanasikitika kutangaza kifo cha Mzee Taylor, baba  mzazi wa Tino, baba mkwe wa Diana Taylor na Doris Rweyemamu, kilichotokea Jumatatu, June 15, 2015, huko Jamaica. 
Wanaoweza kwenda kumpa pole 
Tino...
Address ni...40 East Sidney Avenue Apt# 10-C, 
Mount Vernon, NY 10550... 
(914) 652-3162..Diana
 - (914) 290-8170.... 
Kwa wanaoweza kuchangia mkono wa pole kwani zinatakiwa $ 3000:
Acc # 03117610, Routing #178803726. @
 Capital Bank.
Atakuwa posted nyumbani Jumanne, June 16, 2015, Jumatano June 17, 2015 na Jumapili June 21, 2015....MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI

No comments: