ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 20, 2015

NAYLAH NA LISA WAKAMATA NONDO

Naylah Sebo na Lisa Shariff wakionyesha vyeti vyao baada ya kuhitimu masomo katika kiwango kinachotambulika kama 6th Grade katika shule ya msingi ya Kingsford iliyopo jimbo la Maryland nchini Marekani.

3 comments:

Anonymous said...

Nondo ni degree punguzeni ulimbukeni

Anonymous said...

Kila hatua ya maisha yastahili kushangiliwa hongera sana watoto muendelee na juhudi hii mpaka mfikie kuhitimu PHD, hongera wazazi kwa mwamko wa kutambua na kushangilia hatua muhimu za maendeleo ya watoto, na wewe mdau wa kwanza hapo juu tuondolee mihasira yako kwa taarifa yako nondo ni nondo na kila mmoja anahaki ya kushangilia atakavyo mijitu mingine sijui mpoje full stress

Anonymous said...

I love your comment. Enough said . congrats little ladies