ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 17, 2015

TANZANIA NA ECUADOR ZAANZISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA


 
 "  Wawakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wa Tanzania, na Xavier Mendoza wa Ecuador wakati wa kibadilisha hati za kuanzishwa kwa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Balozi Tuvako Manongi na Balozi Xavier Mendoza, wakiteta jambo baada ya kusaini kwa niaba ya serikali zao, hati za kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi katika hafla fupi iliyofanyia siku ya Jumanne, wanaoshuhudia ni Maafisa Waandamizi, Bi.Tully Mwaipopo (Tanzania) na Bw. Agustin Fornell ( Ecuador).

1 comment:

Anicetus said...

Es tiempo que Tanzania y los paises de latino America tenga una relation economica y social. Mexico,Costa Rica, Brazil, Equador y otras. Gracia Amb. Manongi para empezar amistadi con uno de los paises muy importantes en Latin America.