ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 16, 2015

AFISA UHAMIAJI ZANZIBAR, MAHAFOUDH ABDALLAH ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA UWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM.

MTIA nia ya kuwania nafsi ya uwakilishi jimbo la Magomeni Mahfudhi Abdalla 
Mohammed(kushoto)akilipia fedha za fomu hiyo. 
Kaimu katibu msaidzi wa CCM wilaya ya Amani Asha Mzee (kulia) akimkabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Uwakilishi.
Mtia nia Mahafoudh Abdalla akionesha fomu hiyo.
baada ya kupokea fomu.
Baadhi ya wanachma wengine waliojitokeza kuch ukuwa fomu wakionesha fomu zao.(Picha na 
Ameir Khalid) 

No comments: