Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy tarehe 15/07/2015
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akisalimiana na viongozi wa serikali wakati alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akisalimiana na viongozi wa serikali wakati alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu ziara yake Italy kwa ajili ya maonyesho ya biashara yaliyofanyika nchini humo
Picha na Salmin Said , OMKR

No comments:
Post a Comment