Hapo Airtel mmeniacha hoi Pwa! Hio ni sawa na kumpa mzalendo kiwanda cha Mtibwa bure halafu hana hata centi ya kulipa wafanyakazi na bills za kuanzia.Sasa sijui Ata kimudu vipi bila mtaji.Hapo kwa Mariam ni kama mmebebesha jukumu lingine huyo dada Maana sijaona hapo mkimkabidhi eneo la biashara au kodi na pesa ya kulipia gesi na umeme wa Fridge.
1 comment:

Post a Comment