ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 1, 2015

ALU KALALA NYANG'ORO AFUTURISHA DURHAM, NC

 Mzee Yusuf Kalala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mmoja ya wanae Bi. Mariam wakati wa kupata futari iliyoandaliwa nyumbani kwa dada mkubwa Alu (hayupo pichani) siku ya Jumanne June 30, 2015 Durham, North Carolina nchini Marekani
 Feisal ambaye alikua dereva taxi maarufu enzi hizo za Mbowe, ushirika Club akipata picha ya upendeleo alipokua kwenye futari iliyoandaliwa na dada Alu (hayupo pichani) nyumbani kwake Durham, North Carolina nchini Marekani.
Dada Alu akiongea jambo na kuwakaribisha ndugu wa familia kwenye futari aliyowaandalia siku ya Jumanne June 30, 2015 nyumbani kwake Durham, North Carolina nchini Marekani.

 Kutoka kushoto ni Yusuf, Finias, Bi. Mariam na Mzee Yusuf Kalala wakijiandaa kupata futari.

Mzee Yusuf Kalala akijiandaa kupata futari.
 Feisal akiwa na mama mwenye nyumba wake.
 Mzee Yusuf kalala akipata picha na mmoja ya wanae PK.
 Kutoka kushoto ni Dada Alu, Pendo, Pk na Bi. Mariam wakipata ukodak moment.
 Dadas katika picha ya pamoja.
Bi. Mariam na mwanae Monica katika picha ya pamoaja.

No comments: