ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 31, 2015

BASATA YAMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA KUTOJIHUSISHA NA MUZIKI

Habari zilizotufikia jana usiku July 30 2015 kutoka Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) zinasema kuwa baraza hili limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.Kwa zaidi soma hii barua hapa chini




5 comments:

Anonymous said...

Asante Basata hiyo inafaa ili wengine wenye tabia kama zake na ccm waache!!

Anonymous said...

Haya siyo maendeleo -- BASATA ndio imwajili Shilole?

Anonymous said...

Wamesha mkata, lo

Anonymous said...

Safi sana BASATA, hilo ni fundisho kubwa kwa wengine wasiojiheshimu. Ni vizuri kutambua kila nchi ina mila, destruri na maadili yake, sio kila kitu kuiga kutoka magharibi. Chukua mazuri waachie yenye kudhalilisha.

Hata hivyo hii adhabu ni ndogo sana bw. Mngereza, ilitakiwa iwe angalau miaka mitatu hivi. Ila tunakupongeza sana mh. Mngereza kwa kazi nzuri uliyoifanya, MUNGU akubariki.

Anonymous said...

This is totally bs, basata has to go. Eti mila na desturi za mtanzania, what a joke ! What happened to kila kitu ruksa. Hawa jamaa wa basata ni zaidi ya wasanii.....wazushi watupu.....wao wajishughulishe na logistic peke take mambo ya ku enforce sheria achia vyombo vya sheria. I'm not a big fan of Shilole but, l stand for what's right and against all bs. Shilole endelea kutoa burudani kwa wapenzi wako, wakikuzibia kazi zako kafanyie Kenya au somewhere else ambako basata hawana jurisdiction. #FreeShilole