ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 16, 2015

CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )

1
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na waandishishi wa habari, Dar es Salaam siku ya Jumatano july 15, 2015 kuhusu masuala ya kuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF Taifa, Abdul Kambaya.
2
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

No comments: