Advertisements

Wednesday, July 22, 2015

DIAMOND PLATNUMZ ALEWA SIFA NA KUTUKANA HADHARANI


Baada tu ya Kuchukia Tuzo ya MTV Mama Katika Kipengele cha Mtumbuizaji Bora Africa Diamond Platnumz Alipiga Picha hiyo hapo juu akiwa na Uongozi wake, Pichi hii imeleta Hisia Tofauti kwa Mashabiki wake Huku Wengine Wakisema Hiyo ni Ishara ya kutukana....... 

3 comments:

Anonymous said...

sawasawa tuu, watu hawana hata shukurani kwa kazi anayofanya!kachoka na matusi yao.

Anonymous said...

Hapo ndipo sasa umuhimu wa elimu unapoonekana.

Anonymous said...

Sign of immaturity and ignorant PR. But I don't expect much from msanii who lacks education -his handler should guide him better.