Advertisements

Monday, July 27, 2015

Ibada ya kumuaga Balozi Liberata Mulamula Washington DC Julai 26, 2015

Picha kwa hisani ya Samuel Malonja
Jumapili ya Julai 26 2015, kanisa linaloabudu kwa kiswahili hapa Washington DC la The Way of the Cross Gospel Ministries lilifanya ibada maalum ya kuagana na aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula
Aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiongea na washarika pamoja na wageni waliohudhuria ibada maaluma ya kumuaga


Kwa picha zaidi, bofya soma zaidi



Aliyekuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiongea na washarika pamoja na wageni waliohudhuria ibada maaluma ya kumuaga
Mch Ferdinand Shideko akimkabidhi cheti Mhe Balozi Mulamula kwa niaba ya kanisa

Mchungaji John mbatta akisoma kwa washarika na wageni maneno yaliyo kwenye cheti alichokabidhiwa Balozi Mulamula
Mwinjilisti Celina Lyimo akimkabidhi Balozi Mulamula zawadi

Washarika na wageni wakijumuika kumpongeza Mhe Balozi Mulamula baada ya kukabidhiwa zawadi na kanisa
Mchungaji Shideko akihubiri katika ibada hiyo
Wageni na washarika wakifuatilia mahubiri
Baada ya hapo, yalifanyika maombi maalum kwa ajili ya Balozi, yaliyofanywa na wachungaji wakishirikiana na waumini na wageni
Wachungaji toka makanisa mbalimbali hapa DMV wakiongoza maombi kwa Balozi Liberata Mulamula





No comments: