Advertisements

Tuesday, July 7, 2015

KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA APEWA UCHIFU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA WAZEE WA KANDA YA PWANI


Wazee wa Kimila Ali Mahita Mwinyikambi (kulia) na Athumani Rajab Uloleulole kwa niaba ya Wazee wa Pwani wakimtazama Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa baada ya kumvisha nguo za kimila na kumkabidhi silaha za jadi ikiwa ni ishara ya kumtawaza kuwa Chifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani na kumpatia jina la Chifu Mwinyikambi


Mzee Mwinyijuma Said Muhigira akimkabidhi Katibu Mku wa CHADEMA Dkt. Willibroad Saa usinga, mundu na shoka ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uchifu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, ambapo Wazee wa Pwani walimtunuku Dkt. Slaa jina la Chifu Mwinyikambi.

3 comments:

Unknown said...

Ewwee Mwinyikambi umekuwa MwiIslam? Umeacha dini ya Katoliki kwa ajili ya uchifu?

Anonymous said...

Tatizo kubwa ni baadhi ya wazee wenye njaa sasa uchifu huu kapewa na baraza la wazee gani? kama sio kikundi cha wazee wenye njaa,huyu mbele ya watu wa pwani
ni mtu wa kuja tu

Anicetus said...

Hello Rose, labda Dkt Slaa anaweza kuwabadilisha Waislam kuwa Wakristu: kazi ya mungu