Advertisements

Tuesday, July 7, 2015

KHALIFA KONDO MPONDA MGOMBEA UBUNGE WILAYA MOROGORO VIJIJINI, JIMBO KUSINI-MASHARIKI

Mtangaza nia ya kugombea Ubunge Wilaya ya Morogoro vijijini, jimbo kusini- mashariki Ndugu Khalifa Kondo Mponda.
Ndugu Khalifa Kondo Mponda akiwa ametoka kupata baraka za chifu mpya wa Waluguru Kingalu 15
Ndugu Khalifa Kondo Mponda akijinadi kwa wananchi wake akiwemo chifu mpya wa Waluguru Kingalu 15
Ndugu Khalifa Kondo Mponda akipata baraka toka kwa Chifu mpya wa Waluguru Kingalu 15

No comments: