Advertisements

Tuesday, July 7, 2015

Mugendi Zoka ameremeta na Winnie usiku Mlimani City Dar-es-Salaam.

Pichani Bw.Harusi Bw. Mugendi Zoka akiwa na Bw. Suleiman Saleh, Afisa mwenzake katika Ubalozi wa Tanzania Washington DC,Marekani, mara baada ya kumalizika kwa hafla yao iliyofanyika Mlimani City, Dar-es-Salaam,Tanzania siku ya Jumamosi Julai 4, 2015, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mheshimiwa Frederick Sumaye,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Katika hafla hiyo wageni wengine walikuwa ni Mama Tunu Mizengo Pinda,Mke wa Mhe.Mizengo Pinda,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe.Balozi Liberata Mulamula,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

1 comment:

Unknown said...

Hongera sana brother Mugendi kwa hatua uliyofikia, Mungu akubariki sana uwe na maisha marefu yenye heri na fanaka, hongera sana kaka.