ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 19, 2015

KOMBE LA RAMADHAN LILILOANDALIWA NA NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA ZANZIBAR

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akifuatilia mchezo wa fainali wa Kombe la Ramadhani lililofadhiwani na yeye kwa Vijana wa Kikwajuni. kati ya Kitururu na Jows
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia Fainali ya Kombe la Ramadhani.
Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili wa michuano hiyo timu ya Kitururu.
Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu akikabidhi Mbuzi na Jezi timu Bingwa wa Kombe la Ramadhani lililofanyika katika viwanja vya Kikwajuni mnazi mmoja
\Wachezaji wa timu ya Jows Corner wakishangia ushindi wao dhidi ya timu ya Kipururu katika mchezo wa fainali uliofanyika uwanja wa kikwajuni tim u ya Jows Corner imeshinda 2--1

No comments: