Wananchi wakiangalia kivuko cha Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo kufuatia kupigwa na upeopo hivyo abiria waliokuwemo kwenye gati la upande wa Kigamboni mapema leo Jumapili Julai 19, 2015.
Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu la kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na lilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment