ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 1, 2015

Kwaniaba ya familia ya Tino

Taylor na Diana Rweyemamu, wanapenda kuchukua nafasi hii kutoa
shukrani kwa michango, na maombi na shukrani kwa waliofika kutoa pole.
Tino Taylor, atasafari tarehe 14 mwezi 7 kwenda kumzika baba yake.
Mazishi ya Mzee Egerton Taylor yatakuwa tarehe 18 mwezi 7, Jamaica.

Asanteni, Mungu amlaze mzee mahali pema peponi.

No comments: