Advertisements

Wednesday, July 1, 2015

MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WATEMBELEA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA NA KUTOA MSAADA

Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015 wamejumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam na kula Iftaar na watoto hao kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na kutoa misaada mbali mbali.Kituo hicho ambacho kina jumla ya watoto yatima 100 kuanzia wachanga mpaka miaka 16 na wahudumu 10.
 Huduma ya kuchukua Iftaar tayari kwa kufuturu ikiendelea.
 Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki, maarufu BSS, Rita Poulsen akitoa huduma ya chakula
 Master Jay Akichukua Iftaar
 Madam Rita akichukua Iftaar
 Master Jay na Madam Rita wakifuturu
Watoto wakikila chakula
Majaji wa BSS wakila chakula na watoto yatima
 Mmoja wa watoto akionesha kipaji cha Kuimba
 Mmoja wa watoto akionesha kipaji cha kucheza
 Bi Hadija ambaye ni Mlezi wa Watoto kwenye kituo cha Chakuwama
Master Jay akifurahia na mtoto
Wakiomba dua
 Majaji wa BSS wakipiga picha ya pamoja na watoto
Kiongozi wa kituo hicho akitoa neno la shukrani
Watoto wakipewa zawadi na majaji wa BSS
 Madam Rita na Master Jay wakitoa Misaada kwa katibu wa kituo
Msaada huu ulitolewa na Majaji wa shidano la kusaka vipaji la BSS
 Bi Hadija ambaye ni Mlezi wa Watoto kwenye kituo cha Chakuwama
 Madam Rita na Bi Hadija Mlezi wa kituo cha Chakuwama
Madam Rita akiongea na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuwafutarisha watoto yatima

No comments: