Advertisements

Tuesday, July 7, 2015

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ajiandikisha Msoga

Mwandikishaji Msaidizi katika kituo cha kupiga kura kituo cha Afya Msoga Bi.Happyness Thomas Misana akimkabidhi fomu Mbunge wa Chalinze Mh.Ridhiwani Kikwete wakati mbunge huyo alipojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura leo.
Afisa TEHAMA kutoka Tume ya Taisa Ya Uchaguzi Bwana SAnif Khalfan akimkabidhi Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete kutambulisho chake cha mpiga kura baada ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura leo (picha na Freddy Maro)

2 comments:

Anonymous said...

Hebu tuacheni mawenge. Ni shida gani inayotufanya tusionyeshe wapiga kura wanavyojiandikisha tumekuwa tunawaonyesha wabunge na viongozi hao wananchi wa kawaida wao hawaandikishwi???

Anonymous said...

Hebu tuacheni mawenge. Ni shida gani inayotufanya tusionyeshe wapiga kura wanavyojiandikisha tumekuwa tunawaonyesha wabunge na viongozi hao wananchi wa kawaida wao hawaandikishwi???