ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 18, 2015

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA KUSINI MASHARIKI KHALIFA KONDO MPONDA ACHUKUA FOMU

Engineer Hamis Ahmad Ndwata akimlipia Khalifa Kondo shs 100,000 ya ada ya fomu kwa wagombea ubunge.
Katibu wa CCM wilaya ya Morogoro Vijijini Muheshimiwa Shahibu Mtawa akihesabu hela za fomu ya mgombea Khalifa Kondo
Mgombea ubunge wa jimbo la Kusini Mashariki bwana Khalifa Kondo akikabidhiwa fomu na katibu wa wilaya ya Morogoro Vijijini muheshimiwa Shaibu Ally Mtawa

3 comments:

Anonymous said...

Safi hiyo imetulia. Aminia Kaka yangu Khalifa Kondo

Unknown said...

Mungu akubariki mdogo wangu,

Unknown said...

Mbunge mtarajaliwa