David Kassian Birthday Boy pande za Tropical Grill Lounge akiwa na marafiki zake kumpongeza.
Birthday Boy David sijuhi alikuwa anaimba wimbo gani mbele ya ukodak wa Vijimambo hii yote katika kufurahia siku yake ya kuzaliwa.
Cake ya Birthday Boy ikiwaka mshumaa juu yake kuashiria kuwa birthday cake ikatwe sasa
Marafiki wakipata ukodak na birthday boy katikati David Kassian, kwa picha zaidi nenda soma zaidi
No comments:
Post a Comment