Advertisements

Sunday, July 26, 2015

PITA PITA YA VIJIMAMBO

Mwenyekiti wa tawi la CCM New York kushoto bwana Seif Akida  akipata ukodak na mzee Magali wa bongo movie Kulia, Mzee Magali  nguri wa bongo movie yupo Washington DC kwa ajili ya kuangalia soko la movie linawezaje kupenya kimataifa. 

No comments: