Advertisements

Wednesday, July 1, 2015

RASMI YANGA YAWATAMBULISHA NGOMA, TETTEH


Rasmi uongozi wa Yanga umewatambulisha wachezaji wake Donald Ngoma kutoka Zimbabwe na Joseph Zuttah ‘Tetteh’ raia wa Ghana.


Wawili hao wameingia mkataba wa miaka miwili kuinoa Yanga na leo walitambulishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga, Jerry Muro.
Source:Salehjembe

No comments: