ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 1, 2015

Sadolin Yakabidhi Gari Kwa Mshindi wa Bahati Nasibu

Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda (kushoto) akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda, Bi. Monica Benedict Haule mfanyabiashara ndogondogo za uuzaji wa nguo mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam. Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda (kushoto) akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda, Bi. Monica Benedict Haule mfanyabiashara ndogondogo za uuzaji wa nguo mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam.Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule (kulia) akifungua mlango kuingia katika gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa. Pembeni yake ni Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda. Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule (kulia) akifungua mlango kuingia katika gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa. Pembeni yake ni Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora MapundaMshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kukabidhiwa na kampuni ya Sadolin.
Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule akipiga picha na gari lake mara baada ya kukabidhiwa na kampuni ya Sadolin. Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule akipiga picha na gari lake mara baada ya kukabidhiwa na kampuni ya Sadolin.Gari aina ya TATA Pic-UP, lililochukuliwa na Bi. Monica Benedict Haule kabla ya kukabidhiwa. Sadolin Yakabidhi Gari Kwa Mshindi wa Bahati Nasibu

No comments: