Ndugu yetu Magdalena Komanya anasikitika kutangaza kifo cha pacha wake mchungaji komanya kilichotokea nyumbani Tanzania tarehe 5/7/2015.dada Magdalena yupo kwa dada Rebeka Ndekeja.
2901 Arundel rd.#2.
Mt.Rainer MD
mnaweza kwenda kumpa pole au kumpigia simu kwenye number 614 495 7983 Magdalena Komanya au 202 436 0126 .
1 comment:
Poleni sana, uchungu wenu ni wetu, tuko pamoja kwa masikitiko ya mwenzetu kutokuwa na sisi.
Post a Comment