Advertisements

Saturday, July 4, 2015

VIJIMAMBO YAKUTANA NA WADAU WAKE DALLAS, TEXAS

 Kutoka kushoto ni Tom, Wolfgang, Kichai na Dj Luke wakiwa Afrika Fusion wakipata menyu ni kilaji kwenye July 4th weekend jijini Dallas, Texas.


 Mdau wa Vijimambo akipata picha ya kumbukumbu
 Wadau wakipata picha ya pamoja.
 Wadau wakiwa Africa Fusion wakipata ukodak ndani ya mgahawa huo..
 Mdau kutoka California aakipata picha ya upendeleo.
 Wadau wa Dallas wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wadau wa Vijimambo wakipata picha ya pamoja.


 Ni ukodak moment.
 Ben Kazora akiwa na Dj Luke wakipata picha ya pamoja.
Wadau wakiwa wamependeza.
 Wadau wa Dallas wakiwa kwenye nyama choma kama walivyokutwa na camera ya Vijimambo ambayo wiki hii ipo Dallas, Texas.

No comments: